Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilal, Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar Es
Salaam, Sulemani Kova na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli
wamenusurika kufa mara baada ya helikopta ya jeshi waliyokuwa wakitumia
kwaajili ya kuzunguka kujionea athari ya mafuriko iliyosababishwa na
mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar Kuanguka katika Uwanja wa
ndege wa jeshi uliopo jijini Dar Es Salaam. Imedhibitishwa ni kweli
kupitia TBC walio nusurika ni
1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal
2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik
3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova
Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa athari za mvua jijini
Habari zaidi zitaendelea kuwajia
No comments:
Post a Comment