UJUMBE KIMATAIFA :DKT.GHARIB BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA ‘FOUNDATION FOR BENEFACTOR OPPORTUNITY EDUCATION’. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 8 February 2014

UJUMBE KIMATAIFA :DKT.GHARIB BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA ‘FOUNDATION FOR BENEFACTOR OPPORTUNITY EDUCATION’.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Joe Ricketts Kiongozi wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. Kulia ni Martin Russell Kiongozi wa Taasisi hiyo nchini Tanzania.   Ujumbe huo una lengo la kusaidia Tanzania kuboresha mfumo wa utoaji elimu kwa matumizi ya ‘Tablet’.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib BIlal, akizungumza na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof.  Makame Mbarawa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, pamoja na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment