NDANI YA MICHEZO :RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100 ZILIZOPITA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 8 February 2014

NDANI YA MICHEZO :RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100 ZILIZOPITA


Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF, Jamal Malinzi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kuhusu mafanikio ya uongozi wake ndani ya siku 100 tangu alipoingia madarakani. Kulia ni Afisa habari wa TFF Boniface Wambura (kushoto) ni Mshauri wa ufundi, Rutayunga Peregenus.
 Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mkutano huo uliofanyika, katika ukumbi wa hotel ya Kempisk Hyatt Regence, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment