Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa
hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo
wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014
katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9
liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO)
kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na
Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.
Mgeni
rasmi katika ufungaji wa Kongamano hilo la DBSF 2014, Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (wapili Kushoto),
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma
(kushoto) Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (wapili kulia) na
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia)
akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji Kongamano hilo la DBSF 2014
katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo. Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba
(Kushoto), Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (katikati) na Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia)
akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji Kongamano hilo la DBSF 2014
katika Hoteli ya Naura jijini Arusha.
Katibu
Mtendaji wa CTO, Tim Unwin akisema neno la shukrani kwa washiriki na
wageni wote kwa kufanikisha kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya
Naura Spring jijini Arusha.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (kushoto)
akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin baada ya kufunga
kongamano hilo jijini Arusha . Kwa picha Zaidi Bofya Hapa >>>>
No comments:
Post a Comment