MASHINE YA TRA :WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUHUSU MIGOGORO YA MASHINE ZA TRA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 13 February 2014

MASHINE YA TRA :WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUHUSU MIGOGORO YA MASHINE ZA TRA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na viongozi wa  Jumuiya  za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima.

Baadhi ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na Mkoani  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine  za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 12, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na viongozi wa  wa Kampuni ya China ya  AVIC Group China  Civil Aviation inayopkusudia kuwekeza katika kampuni ya  Ndgege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment