MSAADA WATOLEWA : MKUU WA MKOA WA TANGA MHE. CHIKU GALLAWA AWAFARIJI WANANCHI WALIOEZULIWA NYUMBA ZAO KOROGWE NA MUHEZA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Friday 7 February 2014

MSAADA WATOLEWA : MKUU WA MKOA WA TANGA MHE. CHIKU GALLAWA AWAFARIJI WANANCHI WALIOEZULIWA NYUMBA ZAO KOROGWE NA MUHEZA


Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa
kushoto akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Kijiji Lusanga kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe Thabiti Selemani mwenye kofia jinsi ya kuutumia msaada huo wa unga kwa wananchi walioathirika.
Afisa Rasilimali wa Kiwanda cha Unga jijini Tanga cha Pembe, Salele Masoudy kushoto akimkabidhi Msaada wa Unga kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Lusanga kata ya Mnyunzi,Thabiti Selemani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kushoto na Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo wakishuhudia makabidhiano hayo
MKUU wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akisisitiza jambo kwa wananchi wa Kijiji cha Lusanga kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe  kilichokumbwa na maafa ya wananchi wake kuezuliwa mabati kwenye nyumba zao katika kaya 83 wilayani humo, uliotokana na upepo mkali ulio ambatana na mvua juzi kushoto ni Afisa Rasilimali wa Kiwanda cha Unga cha Pembe jijini Tanga Bw. Salele Masoud  na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo. Kwa hisani ya Tanga Raha Blog

No comments:

Post a Comment