MOTO MOTO : MOTO WATEKETEZA GHALA LA VIFAA VYA CHUO CHA MAFUNZO MOSHI (MPA-CCP) CHA ASKARI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 13 February 2014

MOTO MOTO : MOTO WATEKETEZA GHALA LA VIFAA VYA CHUO CHA MAFUNZO MOSHI (MPA-CCP) CHA ASKARI

Moja ya kifaa kilichopo chuoni hapo ambacho pia kilikuwa kikitumika kwa shughuli za kuzima moto katika jengo hilo .Mkuu wa chuo hicho, Matanga Mbushi amesema taarifa kamili ya moto huo itatolewa baadae.

Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kihifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo.

Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi wakijaribu kuudhiti motouliokuwa ukiwaka katika jengo hilo

Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi wakijaribu kuudhiti motouliokuwa ukiwaka katika jengo hilo
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi wakijaribu kuudhiti motouliokuwa ukiwaka katika jengo hilo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akiwa na mkuu wa Chuo cha taaluma ya Polisi kamishana msaidizi wa polisi Matanga Mbushi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika jengo hilo. Kwa picha zaidi Bofya Hapa >>>

No comments:

Post a Comment