COCA COLA BOY: DIAMOND PLATNUMZ AWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE KATIKA SHOW YA COCA COLA -NDANI YA COCO BEACH - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 17 February 2014

COCA COLA BOY: DIAMOND PLATNUMZ AWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE KATIKA SHOW YA COCA COLA -NDANI YA COCO BEACH

Diamond akionyesha vitu vyake katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach...
Diamond Platnumz akiwasili katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach...
Diamond Akiongea na vyombo mbali mbali vya habari kabla ya show kuanza ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach...
Diamond akianza kutoa ##sukari## na kufanya vitu vyake katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach...
Diamond ...Sukari ya mabinti....
umati mkubwa ukimsikiliza Diamond Pltanumz ndani ya Coco Beach...

Diamond Platnumz na Bling Blingz kibao......

ngololo...eeh ...ngololo......thats how #WCB Hufanya.....

Diamond akionyesha vitu vyake katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach...:Picha zote na Wasafi Classic

No comments:

Post a Comment