![]() |
| Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera akifungua mkutano wa uzinduzi wa ripoti ya kipimo cha mafanikio ya Itifaki ya Soko la Pamoja leo jijini Arusha |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera akimkabidhi mmoja wa viongozi kutoka Kenya ripoti hiyo. |

![]() |
| Naibu Katibu Mkuu(siasa)Charles Njoroge na Naibu Katibu Mkuu(Uzalishaji) wakifatilia ripoti hiyo |
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(wa tatu kushoto)akiwa na viongozi mbalimbali wakati wa uzinduzi huo.




No comments:
Post a Comment