UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI: MHE. GOBLESS LEMA AMNADI MGOMBEA WA KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA BW. ALLY BANANGA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Jan 2014

UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI: MHE. GOBLESS LEMA AMNADI MGOMBEA WA KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA BW. ALLY BANANGA


Lema na Bananga
Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mh Godbless Lema akimpa wosia mgombea wa chama hicho katika kinyang’anyiro cha kuwania udiwani Kata ya Sombetini katika mkutano mkubwa uliofanyika katika viwanja vya Mbauda Sokoni.
umatiSehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo
Sombetini
Lema jukwwaniLema akiwa jukwaani
BanangaMh Godbless lema akimnadi mgombea wa Chadema kata ya Sombetini, Kamanda Ally Bananga
KishoaKamanda wa Chadema kutoka Iramba, mwanadada Jesca Kishoa akitambulishwa jukwaani na Mh. Lema katika mkutano huo
Kishoa
Alipopata fursa ya kuzungumza, Bi Jesca Kishoa aliielezea na kuisifu Arusha na watu wake ni chachu ya mabadiliko nchini na kwamba hata historia ya nchi inaeleza hivyo. Akasisitiza zaidi na kusema kwamba kama kuna mtu anapingana na upepo huu wa mabadiliko atakuwa ni sawa na abiria wa ndege kaachwa na ndege sasa anakodisha baiskeli ili akimbize ndege, jambo ambalo halitamuwezesha kuiwahi ndege, sawasawa  na ambavyo alidai mabadiliko hayazuiliki.
DSC_0063“Amsha amsha” ya nyumba kwa nyumba, gari kwa gari, mtaa kwa mtaa ikiongozwa na Mh. Lema sambamba na mgombea Bananga wakikatiza mitaa ya Mbauda. Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad