KIMATAIFA: BALOZI WA AFRICA UNION AMINA SALUM AONGOZA MKUTANO WA KWANZA WA MABALOZI WA AFRIKA WASHINGTON DC - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


31 Jan 2014

KIMATAIFA: BALOZI WA AFRICA UNION AMINA SALUM AONGOZA MKUTANO WA KWANZA WA MABALOZI WA AFRIKA WASHINGTON DC


 Balozi wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali (kulia) akiongoza mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African Union lililopo Georgetown, Washington, DC. siku ya Jumatano January 29, 2014.
 Waheshimiwa Mabalozi waliohudhuria mkutano huo wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African Union lililopo Georgetown, Washington, DC. siku ya Jumatano January 29, 2014.
 Waheshimiwa mabalozi wakifuatilia mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African Union lililopo Georgetown, Washington, DC. siku ya Jumatano January 29, 2014.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad