GIDABUDAY ASEMA : "RAIS JAKAYA KIKWETE ADANGANYWA MCHANA KWEUPE" Soma Zaidi... - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 30 January 2014

GIDABUDAY ASEMA : "RAIS JAKAYA KIKWETE ADANGANYWA MCHANA KWEUPE" Soma Zaidi...


Kwamba: “Kambi ya wanariadha 40 wapo kambini Dodoma na CCP Moshi.

Kwamba: Wanajiandaa kwa bidii kufikia viwango vya kushiriki mashindano ya Jumuia za Madola zitakazofanyika Glasgow Scotland baadae mwaka huu.

Ukweli ni huu: ‘Hakuna kambi yoyote inayoendelea hivi sasa bali ilikuwa kumtuliza rais pale alipowatemea cheche viongozi wa RT na TOC walafi, mafisadi, wavunja sheria na wezi wakubwa. 

Mshangao: Anthony Mtaka amepewa heshima kubwa na mheshimiwa rais kwa kupewa Ukuu wa Wilaya ya Mvomero! Pamoja na hayo anapata wapi ujasiri wa kumdanganya mkuu wetu wan nchi?

Yetu macho; hakika picha hii ya RT na TOC itaishia pabaya!.Chanzo www.gidabuday.blogspot.com

No comments:

Post a Comment