PARTY YA WAKE WA MABALOZI: MAMA SALMA KIKWETE AWAANDALIA WAKE WA MABALOZI WA NCHI ZA NJE WAISHIO HAPA TANZANIA SHERRY PARTY, IKULU - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Jan 2014

PARTY YA WAKE WA MABALOZI: MAMA SALMA KIKWETE AWAANDALIA WAKE WA MABALOZI WA NCHI ZA NJE WAISHIO HAPA TANZANIA SHERRY PARTY, IKULU


 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya (sherry party) aliyowaandalia wake wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa nchini. Sherehe hiyo ilifanyika Ikulu.
 Kiongozi wa Umoja wa wake wa mabalozi waliopo hapa Tanzania Mama Celine Mpango, (ambaye ni Mke wa Balozi Juma Mpango wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) akitoa salamu zake kwa niaba ya wanajumuia hiyo wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika Ikulu.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mume wa Balozi wa Zambia hapa nchini Bwana Victor Nsemiwe wakati wa sherry party aliyowaandalia wake wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa Tanzania. Sherehe hiyo ilifanyika Ikulu.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na Mama Celine Mpango (kushoto) akifuatiwa na Mama Sitti Mwinyi, Mama Khadija Mwinyi, Mama Asha Bilal na Mama Anna Mkapa.
 kuelekea mchapalo
 picha ya pamoja
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mama Celine Mpango na Mama Saha Bilal wakati wa sherry party aliyowaandalia wake wa mabalozi wa nchi za nje waliopo hapa Tanzania huko Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad