
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro
Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27,
2014.
No comments:
Post a Comment