MTOTO NI MTAMU JAMANI : PICHA YA P' SQUARE (Peter Okoye) NA MWANAE , ALIONA WAKIPUMZIKA KIDOGO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 29 January 2014

MTOTO NI MTAMU JAMANI : PICHA YA P' SQUARE (Peter Okoye) NA MWANAE , ALIONA WAKIPUMZIKA KIDOGO

  Peter Okoye ni mwanamuziki wa kundi la P' Square akipumzika na mwanae ALIONA wakati mama akinunua vitu dukani, raha ilioje mtu akiwa na mtoto wake.
Baba na Mama wakifurahia kwa pamoja, raha ya mwana aijuae mzazi wake...!!!hata wewe Mungu atakupa wako siku moja, usikate tamaa.

No comments:

Post a Comment