KUTOA NI MOYO :MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO MARYAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 31 January 2014

KUTOA NI MOYO :MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO MARYAM


Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga. 
Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii. 
Madaktari walimshauri mama mzazi wa mtoto afanyiwe upasuaji wa kufungua njia ya choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto upasuaji huo. 
Mnaombwa ndugu, jamaa na marafiki tumsaidie mtoto huyu. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie mtoto hyu. 

Kama Una msaada Wowote ule tafadhali unaweza kupiga namba hii: +255719009004 au Kama upo nje ya Tanzania na umeguswa na hili na unataka kutoa msaada wako tafadhali Tuma kwenye account ya Barclays: Miss S.Yussuf sort code: 207103 acc: 73049328 pia unaweza kutuma kwa njia ya wastern union. Ama kwa TIGO PESA kwa namba+255719009004, Ahsanteni. 
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI. MUNGU AWABARIKI SANA.

No comments:

Post a Comment