KILA MTU ANAHITAJI MAISHA MAZURI : ANGALIA MAISHA YA BABU "MWASAPILE" WA LOLIONDO YALIVYOBADILIKA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 31 January 2014

KILA MTU ANAHITAJI MAISHA MAZURI : ANGALIA MAISHA YA BABU "MWASAPILE" WA LOLIONDO YALIVYOBADILIKA

Mkoko wa Babu wa Loliondo "Mwasapile"
Nyumba ya zamani ya Babu "Mwasapile" wa Loliondo
Mjengo mpya wa Babu "Mwasapile" ,kweli kila mtu hapa duniani anahitaji maisha mazuri kama haya....
Babu akiwa ndani ya Nyumba mpya, tiles zinaonekana zikiwaka kwa mbali..."ila bado watu wanahitaji utabiri au maono mengine ili ununue hata Chopa Moja" ombi langu kwa Babu

No comments:

Post a Comment