AJALI MBAYA : AJALI IMETOKEA KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 9 January 2014

AJALI MBAYA : AJALI IMETOKEA KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA

 Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa Amelazwa Pembeni baaada ya kupewa msaada
 Huyu pia ni mmoja wa majeruhi ambaye ameumia vibaya sana kwenye mguuu wake
 Hii ndi gari aina ya Noah ambayo imepata ajali ikiwa imeharibika vibaya kwa mbele
 Huyu mama ameumia vibaya sana kwa kupasuka kwenye paji la usoo
 Watu wakiendelea kutoa msaada kwa majeruhi wa ajali hiyo
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amelazwa pembeni ya barabara
Ajali mbaya imetokea mda si mrefu eneo kati ya wami na segera,ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo ilikuwa inatokea Moshi mjini kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa gari hiyo na pia dereva alikuwa anasinsiza hali hiyo iliyopelekea kucha njia na kuenda kuivaaa gari ya mizigo kwa mbele.Gari hiyo ya noah pia ilikuwa imebeba watu kupita uwezo wake ambapo abiria zaidi ya kumi na mbili walikuwa ndani ya gari hiyo.Mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio hakuna aliyepoteza maisha bali watu ni majeruhi walioumia vibaya sana.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA DJ SEK BLOG

No comments:

Post a Comment