Mbunge
wa kigoma kaskazini-Chadema akisalimiana na mamiaaaaa ya wanakigoma
muda mfupi baada ya kuwasili na kupokelewa na maandamano makubwa mjini
kigoma.
Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea
mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya
kuwasili kigoma.
Baaadhi
ya Madreva bodaboda mkoani kigoma wakiongoza msafara wa mbunge wa
kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupu baada ya kuwasili
Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea
mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya
kuwasili kigoma.
Mbunge
wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe(wa tatu kulia)akilakiwa na
baadhi ya viongozi wa chadema mkoani Kigoma muda mfupu baada ya kuwasili
na kupokewa na maandamano makubwa
Mbunge
wa kigoma kaskazini -chadema Zitto Kabwe Akihutubia maelefu ya
wananchama na wapenzi wa chadema muda mfupi baada ya kuwasili mkoni
kigoma na kupokelewa kwa maandamano makubwa. Kwa picha Zaidi Bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment