TUZO YA HESHIMA YA SHERIA ZA VITA YATOLEWA KWA CHUO KIKUU CHA TUMAINI(IRINGA CAMPUS) - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Nov 2013

TUZO YA HESHIMA YA SHERIA ZA VITA YATOLEWA KWA CHUO KIKUU CHA TUMAINI(IRINGA CAMPUS)

Makamu Mkuu  wa  chuo   kikuu  cha Tumaini Iringa, Prof Nicholaus Bangu kushoto akipokea tuzo  ya heshima ya sheria  za vita  kutoka kwa mkuu msaidizi  wa kitivo cha sheria  Jane Massey  huku wanafunzi walioshinda  wakishuhudia  zoezi hilo.

Washindi  wa tuzo hiyo chuo kikuu cha Iringa wakiwa na tuzo yao kushoto ni mkuu wa chuo Prof. Nicholaus Bangu  na kulia wa kwanza na mkuu msaidizi wa kitivo cha sheria Bi Jane Massey
Mkuu msaidizi wa  kitivo cha  sheria chuo kikuu cha Iringa Jane  Massey akikabidhiwa tuzo ya  heshima ambayo chuo  hicho kimeshinda katika mashindano yaliyoshirikisha  nchi saba Afrika na chuo  hicho  kunyakua tuzo hiyo kwa kuwa chuo cha kwanza. Kwa Picha Zaidi Bofya HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad