MTEMVU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHIPUKIZI WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 November 2013

demo-image

MTEMVU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHIPUKIZI WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM

02
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Ng'wanang'walu (kushoto) akimkabidhi tuzo maalum, Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Kamanda wa umoja huo, Abbas Mtemvu kwa ajili ya kumpongeza kwa uteuzi huo pamoja na kuchangia kwa kiasi kikubwa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam juzi.
IMG_9702
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi
IMG_9704
 Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha OTT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo
IMG_9719
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi
IMG_9720
 Baadhi ya wasimamizi wa  uchaguzi wa uchaguzi wa chipukizi wakipiga makofi alipokuwa akihutubia mTEMVU
IMG_9724
 Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ng'wanang'walu akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Mtemvu (kulia) kufungua mkutano huo
IMG_9732
 Katibu wa Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akihutubia na kukemea vitendo vya rushwa katika uchaguzi huo.
IMG_9738
 Mtemvu akimkabidhi mmoja wa chipukizi zawadi ya cheti.
IMG_9763
 Mtemvu akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Chipukizi. Kwa picha zaidi bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *