LE MUTUZZ STRAIGHT TALK: BILIONEA DAVIS MOSHA MKURUGENZI NA MMILIKI WA DELINA GROUPS INC. AFANYA KUFURU JINGINE ATOA USD $ 5,000 KWA WABONGO DMV & TEXAS. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Tuesday, 26 November 2013

LE MUTUZZ STRAIGHT TALK: BILIONEA DAVIS MOSHA MKURUGENZI NA MMILIKI WA DELINA GROUPS INC. AFANYA KUFURU JINGINE ATOA USD $ 5,000 KWA WABONGO DMV & TEXAS.


Mkurugenzi na Mmiliki wa Delina Groups Inc. Super Mogul Davis Mosha, pamoja na kutoa vifaa vya michezo vya mamilioni ya Shillingi kwa Timu za wabongo za Simba na Yanga, huko Mambelez DMV na Texas, pia ametoa Zawadi ya USD $ 5,000 ambazo zitakuwa zinashindaniwa kila mwaka na timu hizi ikiwa na maana mshindi wa kombe atakuwa pia akiondoka na kitita hicho cha dola za kimarekani.



Kushoto ni Ofisa wa Delina Groups Inc. Imma Msuya akimkabidhi Mkurugenzi wa African Swahili Media wa USA Bw. Alex, wiki iliyopita katika makao makuu ya ofisi za Delina PPF Towers downtown Bongo.

No comments:

Post a Comment