EAC YATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI WA AFRICA MASHARIKI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 9 November 2013

EAC YATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI WA AFRICA MASHARIKI

Mtaalamu wa Vyombo vya Habari katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Sukhdev Chhatbar akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka nchi tano za EAC,Tanzania,Rwanda,Kenya,Rwanda na Burundi yanayofanyika katika mji Mkuu wa Burundi,Bujumbura kwa siku nne.Mafunzo hayo yameandaliwa na EAC kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo ya Ujerumani(GIZ).

Afisa Rasilimali Watu wa GIZ-Arusha,Elizabeth Wanyoike akiwasilisha mada katika mafunzo hayo.
Waandishi wa habari,Rosemary Mirondo wa East Africa(Dar es Salaam,Balthazar Ndiwayesu,East Africa News Agency(EANA)na Peter Saramba,Mwananchi,Arusha wakibadilishana mawazo
Wawezeshaji wakijumuika na waandishi wa habari kuimba wimbo wa EAC.

No comments:

Post a Comment