DKT. JAKAYA KIKWETE AWASILI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 14 November 2013

demo-image

DKT. JAKAYA KIKWETE AWASILI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA

D92A2448
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu maalumu cha Wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Colombo nchini Srilanka kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Madola Commonwealth unaofanyika nchini Srilanka.
IMG_0886
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Defue mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM). PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *