BEATRICE MROKI ,MTOTO WA MKURUGENZI WA FATHER KIDEVU BLOG, APATA KIPAIMARA KANISA LA KKKT UKONGA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 19 November 2013

demo-image

BEATRICE MROKI ,MTOTO WA MKURUGENZI WA FATHER KIDEVU BLOG, APATA KIPAIMARA KANISA LA KKKT UKONGA


DSC_0236
Novemba 17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa kupata sakrementi yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Ukonga jijini Dar es Salaam. Pichani ni Beatrice akigonganisha glasi na msimamizi wake Neema Steven wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa Samunge Ukonga Mazizini.
DSC_0048
 Hapa ilikuwa Kanisani wakisubiri kupokea Kipaimara katika KKKT Ukonga
DSC_0065
Baada ya Kipaimara baba (Father Kidevu) na mama yake Beatrice wakilamba picha na Binti yao.
DSC_0240
 Nasisi tulijipiongeza kwa malezi bora Mungu aliyotujalia
DSC_0241
Bibi zake Beatrice wakijipongeza na kumtakia heri Mjukuu wao.
DSC_0248
 Beatrice na wapambe wake...
DSC_0253
DSC_0256
Pongezi kutoka kwa wazazi...
DSC_0294
 Dada Kilave akimpongeza mdogo wake
DSC_0309
 Kikundi cha Ligimilo wakicheza kwaito...
DSC_0329
Keki ilikuwa hiviii ...
DSC_0335
 na ilikatwa hivi....
DSC_0369
 Ikaliwa hivi... Hapa Beatrice akimlisha mdogo wake Glory.

DSC_0387
 Father Kidevu wakati wa zawadi alimpa gwala binti yake
DSC_0451
Muongezaji maarufu wa filamu za Kibongo Leah Mwendamseke nae alikuwepo.

DSC_0469
 Ligimilo wakitangaza zawadi yao..
DSC_0493
Weee...!! Tulia nami nimsaidie baba leo...Glory Mroki akimfotoa dadayake picha.
DSC_0547
 Kazawadi haka jamani... siku moja nitavaa shati lake.
DSC_0561
 Huko jikoni mambo yalikuwa hivi
DSC_0618
 Mwisho lilishuka sebene kali kutoka kila aina ya muziki kuanzia injili hadi katika kiduku namna hii.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *