ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI ALIEPOTEZANA NAYE MUSOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 12 November 2013

demo-image

ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI ALIEPOTEZANA NAYE MUSOMA



ANAMTAFUTA

Jina langu ni Cosmas Hans Moses(22) na dada yangu anaitwa Aneth Hans Moses(24), kwa sasa naishi mwanza.. Ninaemtafuta ni Baba yetu mzazi anaitwa Hans Moses Mwakyusa, zamani alikua anaishi Kiabakari Musoma vijijini na huko ndiko tulikopotezana mimi nikiwa mdogo kabisa kwa hiyo simfaham hata nikimuona... Kwa sasa nasikia anaishi Kyela Mbeya pia ni mfanya biashara ila cjui anafanya biashara gani.Naomba msaada wenu ili niweze kuonana tena na baba yangu mzazi mawasiliano yangu ni 0765-684572

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *