Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu, pichani.
Katika
suala hilo, wale wadau wanaotarajia au waliowahi kuandaa matamasha ya
aina hiyo ni dhahiri wanatakiwa waungwe mkono badala ya kukatishwa
tamaa.
ILI kujenga jamii bora na yenye kujua tamaduni zao, kunahitajika kuandaliwa matamasha muhimu yenye dhamira ya kweli katika kona mbalimbali za nchi yetu. Huo ni mpango mzuri na wenye tija.
ILI kujenga jamii bora na yenye kujua tamaduni zao, kunahitajika kuandaliwa matamasha muhimu yenye dhamira ya kweli katika kona mbalimbali za nchi yetu. Huo ni mpango mzuri na wenye tija.
Kwa
sasa, tamasha ambalo linatajwa katika vinywa vya watu wengi ni lile la
Handeni, linalotarajiwa kufanyika Desemba 14, wilayani Handeni mkoani
Tanga.Tamasha hilo la utamaduni na michezo
linatambulika kwa jina la ‘Handeni Kwetu,’ jina lililotokana na mtandao
‘blog’ ya Handeni Kwetu.
Mratibu wa Tamasha la Handeni, Kambi Mbwana, pichani.
Vyovyote
litakavyotajwa na wadau wa matamasha duniani kote, ili mradi linatimiza
na kutoa majibu halisi ya namna ya kutangaza na kukuza utamaduni wa
Tanzania, si vibaya na njia ya kulitangaza mbele ya jamii.
Katika
mazungumzo yaliyofanyika mapema wiki hii, mwishoni mwa wiki iliyopita,
Mratibu Mkuu wa tamasha hilo, Kambi Mbwana, anasema kuwa lengo la
kuandaa tamasha hilo ni kushirikiana na serikali na wananchi wote kujua
mbinu imara za kuutangaza utamaduni wetu
No comments:
Post a Comment