MHE. STEPHEN MASELLE AFUNGUA MAONYESHO YA MADINI YA VITO JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday, 28 October 2013

MHE. STEPHEN MASELLE AFUNGUA MAONYESHO YA MADINI YA VITO JIJINI ARUSHA


  Naibu Waziri wa Madini,Stephen Masele akihutubia wadau wa madini leo kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha wakati akifungua maonesho ya pili ya madini aina ya Vito.
 Wadau wa sekta ya madini kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri Masele kwa umakini.
  Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia) akizungumza na mfanyabiashara madini nchini,Dk Anthony Frisby katika  hoteli ya Mount Meru jijini.
 Wafanyabiashara wakiangalia madini ya aina mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara wa DRC
  Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akimsikiliza Mwenyeikiti wa TAMIDA,Sammy Mollel wakati akitembelea mabanda ya wauzaji  kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha .
 Madini ya Tanzanite ambayo huchimbwa nchini Tanzania pekee katika machimbo ya Mererani mkoa wa Manyara.
 Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia)akisalimiana na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Arusha Techinical College,Gasto Leseiyo,Chuo hicho kinatoa mafunzo ya Uchakataji madini na kutoa wataalamu wanaokubalika katika soko la ajira.Picha Zote na www.rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment