MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA KAMISHNA MSAIDIZI MSTAAFU WA POLISI JAMES KOMBE, KILIMANJARO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Oct 2013

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA KAMISHNA MSAIDIZI MSTAAFU WA POLISI JAMES KOMBE, KILIMANJARO

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT, kanda ya Kaskazini, Dkt. Martin Shao akiendesha Ibada ya Maziko ya  aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyefariki dunia Oktoba 21 mwaka huu, Jijini Dar es salaam na Kuzikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akitoa heshima za mwisho katika Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa wilaya ya Hai, Novatus Makunga (wakwanza) na Mkuu waWilaya ya Moshi, Dkt. Ibrahimu Msengi (wa pili) wakitoa heshima zao za mwisho katika Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi mkoanbi Kilimanjaro, ACP-Robert Boaz akitoa Salamu za Rambirambi kwa niaba IGP Said Mwema katika ibada ya Maziko ya aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mheshimiwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Aisha Nyerere, akitoa heshima za mwisho katika Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mke wa Marehemu, Maria Kombe (katikati) pamoja na watoto wake wakifuatilia ibada ya Maziko ya Mume wake, aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (katikati),  Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz (kulia) na Kaimu kamanda wapolisi mkoani Kilimanjaro, Moita Koka, wakitoa heshima za mwisho katika Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, ukiondolewa kanisani katika kanisa la KKKT, usharika wa Msae kuelekea Nyumbani kwake kwa ajili ya zoezi ya Maziko yaliyofanyika Jana, kijijini Msae, kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Askofu Mkuu wa KKKT kanda ya Kaskazini, Dkt. Martin Shao, akiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi kilimanjaro, Robert Boaz na Kamanda wa Polisi Arusha, Liberatus Sabas (mwenye suti) wakiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mke wa Marehemu, Maria Kombe, akiweka Ua katika Kaburi la Marehemu mume wake, aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Wanafamilia wakiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Watoto wa Marehemu Kombe, wakiongozwa na Kaka yao, Dustan Kombe kuweka  Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Aisha Nyerere, akiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Vijana wa Jeshi la Polisi, wakitoa Heshima za mwisho katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, kwa Mujibu wa taratibu za kijeshi. Kombe alizikwa Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro. picha zote na Taifa Letu.com blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad