MATUKIO MBALI MBALI : DKT GHARIB BILAL AKIZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGARASI, KIGOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

26 Oct 2013

MATUKIO MBALI MBALI : DKT GHARIB BILAL AKIZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGARASI, KIGOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko kipya cha MV Malagalasi kilichopo Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika wilayani humo.
 Makamu akiwahutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko kipya cha Mv Malagalasi, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli. 
 Makamu akiwa na baadhi ya viongozi ndani ya Kivuko hicho baada ya kukizindua.
 Makamu akizunguma na wananchi wa upande wa pili baada ya kuzindua kivuko hicho.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili. Kwa Picha zaidi bofya hapa >>>>

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633