KIJANA ATEMBEA NA BAISKELI KATIKA MIKOA 8 KUHAMASISHA AMANI NCHINI TANZANIA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 18 October 2013

KIJANA ATEMBEA NA BAISKELI KATIKA MIKOA 8 KUHAMASISHA AMANI NCHINI TANZANIA.

Mkuu  wa  mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma  kulia akimpongeza kijana Japhet kutoka mkoa  wa Mwanza  baada ya  kupokelewa mjini Iringa , kushoro ni naibu meya  wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa Gervas Ndaki
Mmiliki  wa mtandao wa mzee  wa matukio  daima akimkabidhi tuzo maalum kijana huyo baada ya  kumfadhili mapokezi yake  mkoa  wa Iringa
Ofisa  wa Sumatra mkoa  wa Iringa na afisa  biashara  wa Manispaa ya  Iringa Bw. Majaliwa akimpongeza  kijana huyo
Mapokezi  ya kijana  huyo mjini Iringa
Naibu  meya  wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa Gervas Ndaki akimpongeza  kijana  huyo kwa uzalendo
Safari  yake  ilianzia  mkoa  wa Mwanza na  sasa amefunga mikoa nane  kwa kumalizia mkoa  wa Morogoro na malengo yake  kutembea  nchi  nzima hadi  ifikapo mwaka 2015 awe  amefikisha ujumbe wa amani nchi nzima. Kwa picha zaidi bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment