CATHERINE FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 22 October 2013

CATHERINE FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI JIJINI ARUSHA





 Mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ambaye pia ni Mbunge wa viti Maalum UVCCM Arusha, Catherine Magige akizungumza wakati wa uzinduzi wa taasisi yake uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha.



Catherine Foundation ni taasisi isiofungamana na upande wowote na inatoa huduma za kijamii kwa makundi mbalimbali yakiwepo ya Vijana, watoto na wanawake wajane


 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki akizungumza wakati akizundua rasmi taasisi ya Catherine Foundation.


 Mbali na uzinduzi huo Catherine Foundation ilitoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu wenye uhitaji maalum.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angelah Kairuki (kushoto) akizindua rasmi ofisi za taasisi ya ‘catherine Foundation’ iliyo jijini Arusha, katika uzinduzio uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum UVCCM-Arusha,Catherine Magige.


 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angelah Kairuki akifurahia mandhari nzuri ya ofisi ya Catherine Foundation. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo na Mbunge wa viti Maalum Arusha, Catherine Magige.


 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angelah Kairuki akitia saini kitabu cha wageni.


 Mwenyekiti wa taasisi hiyo na Mbunge wa viti Maalum Arusha, Catherine Magige akiwa na watoto mbalimbali.
 


Hapa ndipo ilipo Ofisi za Catherine Foundation. Ni Katika barabara ya Moshi Arusha, PPF Kaloleni mtaa wa Makanyaga katika nyumba za Denafro ghotofa ya 1.  Picha zaidi bofya CATHERINE FOUNDATION

No comments:

Post a Comment