MWIZI WA GUNIA LA MKAA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA WATU WENYE HASIRA KUTAKA KUMSULUBISHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 14 September 2013

MWIZI WA GUNIA LA MKAA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA WATU WENYE HASIRA KUTAKA KUMSULUBISHA

Gunia la mkaa ambalo kijana mmoja ambae jina lake halikupatikana, alikutwa amelichukua na kutokomea nalo.
Mwizi wa gunia la mkaa akiwa amekaa nalo ndani ya gari la polisi mara baada ya kuokolewa na polisi hao, ili watu wenye hasira kali wasimsulibishe. Kijana huyo aliiba gunia la mkaa katika bar moja maeneo ya Makao -Mapya jijini Arusha.
Watu wenye hasira kali waliokuwa wakitaka mwizi wa mkaa ashushwe na polisi ili wamkomeshe kidogo ..

No comments:

Post a Comment