MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YAENDELEA KUWATAMBUA BLOGGERS WA TANZANIA,KWA KUWAPA SEMINA YA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Friday, 20 September 2013

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YAENDELEA KUWATAMBUA BLOGGERS WA TANZANIA,KWA KUWAPA SEMINA YA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM.

ANKAL Michuzi akiwa na Prof John Nkoma  DG/TCRA na Innocent Mungy MCC/TCRA wakati wa mapumziko mafupi kwenye mafunzo mafupi ya Bloggers wa Tanzania
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Sekta ya Wachangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmikwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini  wakiwa kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Forum Maxence Melo akielezea changamoto walizokutana nazo katika uendeshaji wa mtandao wa Jamii Forums
Wakurugenzi wa Jamii Forums kutoka (kushoto) Mike Mushi na Maxene Melo wakiwa katika mafunzo maalumu kwa Bloggers wa Tanzania, mafunzo yaliyo wezeshwa na TCRA
Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT)na Innocent Mungy wakijadili jambo katika mafunzo kwa Bloggers wa Tanzania
Jeff Msangi wa Bongo Celebrity akishukuru kwa niaba ya Bloggers wa Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kutambua mchango wa Bloggers katika maendeleo ya nchini katika nyanja za  kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Jeff Msangi akichangia jambo katika warsha ya siku mbili ya Bloggers na wakurugenzi wa mitandao ya kijamii nchini, iliyowezeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Freddy  wa Tone Multimedia Company na Joseph Mwaisango wa Mbeya Mbeya Yetu wakifuatilia kwa karibu warsha hiyo.
Baadhi ya Bloggers wa Tanzania

DJ Choka akiuliza swali kwa watoa mada
Jestina George akichangia Mada
Mdimu akichangia mada
Sinta akichangia mada
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao  wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, yaliyoanza Septemba 17 na kumalizika septemba 18 jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha wamiliki wa magazeti tando (bloggers) mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof John Nkoma akimkabidhi Cheti Mmiliki wa Blog ya Lukaza, Josephat Lukaza mara baada ya kumaliza mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mafunzo ambayo yalianza jana Septemba 17 na kumalizika Septemba 18 jijini Dar Es Salaam
  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na kumalizika jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
 Othman Michuzi, akipokea cheti.
 Shamim Mwasha, akipokea cheti.
 Cathbert Kajuna, akipokea cheti...
 Dj Choka, akipokea cheti.
 Maxence Melo, kipokea cheti.
 Sinta, akipokea cheti.
 Mmiliki wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki wa Mtandao wa Bongo Celeblate, Jaff Msangi, wakati wa semina maalum kwa wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, iliyoanza jijini Dar es Salaam. 
 Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
 Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo.....
 Jestina george, akichangia mada
 Jeff Msangi, akichangia mada.
 Maxence, akichangia mada.
 Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...
 Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo...
 Mafunzo yakiendelea 
 Mike Mushi, wa jamii forum, akitoa mada
 Mablogger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
 Mtoa mada, Dotto Kuhenga, akitoa mada
 Mtoa mada, Pili Mtambilike, akitoa mada

No comments:

Post a Comment