SWAHILI TV EXCLUSIVE RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJINI WASHINGTON D.C. SEPT 19,2013 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 20 September 2013

SWAHILI TV EXCLUSIVE RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJINI WASHINGTON D.C. SEPT 19,2013

   Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete jijini Washington DC, Marekani.
 Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa akielekeza jambo katika kikao chake na uongozi wa CCM DMV. Kikao hiki kimefanyika Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani. 
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimsalimia Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV.
Mhe. Rais Kikwete akiwa na Bwana DMK Mkurugenzi wa MMK MEDIA GROUP: Swahili TV, Swahili Radio na Swahilitv Blog. Picha zote na Swahili TV. KWA PICHA ZAIDI INGIA SWAHILI TV BLOG

No comments:

Post a Comment