Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana .
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma
na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Adam Kimbisa
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Khamis Sadifa Juma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Octavian Kimario
Watumishi na wanachama wa Chama
cha Mapinduzi wakishangilia kwa furaha ujio wa Mwenyekiti wa CCM Taifa ,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete mara tu alipowasili Dodoma tayari kwa
Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa ya Chama.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye akibadilishina mawazo na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Stephen
Wassira kabla ya Kikao cha Kamati kuanza leo Dodoma kwenye Ukumbi wa
NEC.
Wajumbe wa Kamati Kuu
wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha
Kamati Kuu,Dodoma 23 Agosti 2013.
Mjumbe wa NEC, Prof. Anna Tibaijuka akipitia Katiba ya Chama kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi wa NEC.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete ,akifungua kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu
ya Taifa CCM,Kushoto kwake ni Makamu wa CCM Zanzibar Ali Mohamed Shein
na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Travel with Purpose: Conquer, Cruise, or Drift?
-
The Tanzanian bush is raw, untamed, and relentless. It demands respect—and
a machine built for absolute mastery.
At Mobila Safaris, your window to th...
No comments:
Post a Comment