DKT. MOHAMED SHEIN AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI WA SERIKALI YA MAPINDUZI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 21 August 2013

demo-image

DKT. MOHAMED SHEIN AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI WA SERIKALI YA MAPINDUZI


IMG_3062+%281%29
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
IMG_3071
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
IMG_3083
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
IMG_3092
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed, kuwa Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana  Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *