AJALI MBAYA YA BASI LA MERIDIAN YATOKEA MAENEO YA MBWEWE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 11 August 2013

AJALI MBAYA YA BASI LA MERIDIAN YATOKEA MAENEO YA MBWEWE

Baadhi ya abiria wakitafuta mizigo yao baada ya basi walilokuwa wakisafiri nalo la Meridian kupata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo.

BASI la Meridian linalofanya safari zake Dar es Salaam na Rombo limepata ajali mbaya eneo la Mbwewe Bagamoyo mkoani Pwani likiwa safarini kuelekea jijini Dar es Salaam likitokea Rombo. Abiria kadhaa wamepoteza maisha katika ajali hiyo japo idadi kamili bado haijafahamika. Chanzo: Jamii Forum

No comments:

Post a Comment