MKANDAMIZAJI "EMANUEL MGAYA" NA SHILOLE NDANI YA UBALOZI WA MAREKANI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Jul 2013

MKANDAMIZAJI "EMANUEL MGAYA" NA SHILOLE NDANI YA UBALOZI WA MAREKANI


 Juu na chini ni Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakiwa nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC mara walipopita na kupiga picha nje ya mjengo Jumapili June 30, 2013 walipokua wakitokea uwanja wandege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia. Kesho mchana Jumanne April 2, 2013 watatembelea rasmi mjengo huo na kusaini kitabu cha wageni.
 Masanja na Shilole wakiwa na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wakiangalia menyu tayari kwa kuagiza dinner ya mchana walipokwenda mgahawa wa kijiji cha Swahili uliopo Beltsville, Maryland
 Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na mmiliki wa mgahawa wa Swahili Village Bwn.Kelvin.
Masanja na Shilole wakiingia kwenye usafiri wao kuelekea Hotelini walikofikia.  kwa hisani ya Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad