Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa
Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC)
kati ya Tanzania na India unaofanyika katika Hoteli ya Hyatt
Regency-Kilimanjaro kuanzia tarehe 08 hadi 09 2013. Mkutano huo
unaowashirikisha Wadau kutoka sekta mbalimbali za hapa nchini na India
utajadili pamoja na mambo mengine masuala ya ushirikiano katika sekta za
Uchumi, Ufundi, Sayansi na Teknolojia, Elimu, Afya, Utalii, Kilimo na
Nishati na Madini.
Dk Rugazia: Eneo la jinai linawasumbua wananchi
-
Na Mwandishi Wetu
WAKILI wa Kujitegemea Dk Aloys Rugazia amesema eneo la jinai la kubambikiwa
kesi ni eneo ambalo linasumbua watu wengi katika jamii, wa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment