MATUKIO MBALI MBALI YA MAANDAMANO YA AMANI YA CHADEMA KWA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA, BAADA YA KUSHINDA UDIWANI KATIKA KATA NNE. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Wednesday 17 July 2013

MATUKIO MBALI MBALI YA MAANDAMANO YA AMANI YA CHADEMA KWA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA, BAADA YA KUSHINDA UDIWANI KATIKA KATA NNE.

 Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. 
 Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika maandamano ya amani ya madiwani wapya na viongozi kwenda kumpongeza Mkurugenzi wa jiji kwa kusimamia uchaguzi vizuri
 Lema akiwa na madiwani wapya wakiingia katika jengo la Halmashauri ili kuonana na Mkurugenzi wa jiji  la Arusha.
 OCD wa Arusha Gilles Mulloto akimsihi Mbunge wa Arusha awatawanye wafuasi wa chama hicho waliokuwa wamekusanyika nje ya jingo la Halmashauri wakiwasubiri viongozi wao waliokuwa wamekwenda kuonana na Mkurugenzi wa jiji.
Madiwani  wapya waliochaguliwa na wabunge wa CHADEMA wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa jiji la Arusha Bi.Siporah Liana walipofika ofisini kwake kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa madiwani. (Picha na Ferdinand Shayo)

No comments:

Post a Comment