HEARING FOUNDATION YA MAREKANI YATOA HUDUMA KWA WASIOSIKIA VIZURI ,JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Jul 2013

HEARING FOUNDATION YA MAREKANI YATOA HUDUMA KWA WASIOSIKIA VIZURI ,JIJINI ARUSHA

Wakazi wa Arusha wakisubiri kupimwa masikio na kupatiwa kifaa cha kuwasaidia kusikia katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha.
Madaktari kutoka Hearing Foundation wakimwekea mtoto kifaa cha kusikia katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha.
Kiongozi wa madaktari hao akitoa maelekezo ya kazi kwa vijana alioongozana nao kwa ajili ya kusaidia zoezi la utoaji wa huduma hiyo, katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha.
Mmoja wa wagonjwa akiwekewa kifaa cha kusikilizia masikioni katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha.
Mchezaji bora wa mchezo wa rugby nchini Marekani akimpa fulana kama zawadi,baada ya kupewa kifaa cha kusikia katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha. Kwa hisani ya Woinde Shizza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad