Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli,
Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ .
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpa zawadi Ofisa Kadet Ngodoke kwa kuibuka mwanafunzi bora wa jumla
mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha,
kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ. Jumla ya
wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa
Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya
Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpa zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool toka Visiwa vya Ushelisheli
kwa kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa jumla mwaka huu katika Chuo
Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku
kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ Julai 13. Jumla ya wahitimu 205,
wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo
wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akitunuku kamisheni kwa maafisa katika Chuo cha Cha Mafunzo ya Kijeshi
(TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli.
Meza
kuu wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment