IRINGA
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Albano Midelo wa Gazeti la Dira tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Alex Magwiza wa TBC tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi David Azaria wa Sahara Media tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri
wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali alioongozana nao katika hafla hiyo kutoka
kulia ni Adam Swai Katibu Tawala msaidizi mkoa wa Iringa,Theresia
Mahongo Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa,James Lembeli Mwenyekiti wa
kamati ya bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili na kushoto ni
Mkurugenzi wa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Mhariri
wa habari Chanel Ten Esther Zelamula akitangaza mmoja wa washindi
katika hafla hiyo kulia ni Lesara Kabongo Afisa Utalii TANAPA na kushoto
ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Eliya Mbonea wa gazeti la Rai tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi David Rwenyagila wa Radio Five tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Antonio Nugas wa Clouds Media Group tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Lilian Shirima wa TBC tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii ,
kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu
James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa
TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Waziri
wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya
pamoja na washindi wa tuzo za TANAPA mara baada ya kuwakabidhi zawadi
zao kutokana na ushindi wao.
Wahariri mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment