Mcheza filamu wa Ki-nigeria ambae amewahi kucheza filamu na baadhi ya wasanii wa Ki-Tanzania kama vile Marehemu Steven Kanumba katika filamu ya she is my Sister na wengine ,amenunuliwa gari la kifahari aina ya Lexus GX 460 na mumewe lenye thamani kubwa kwa pesa za huko yaani zaidi ya (N15 Millions). Mumewe ambae anakwenda kwa jina la Prince Odi Okojie, amemnunulia Mercy Johnsonhilo gari wiki chache zilizopita na kuweka jina lake katika namba za gari hilo (number plate). Kwa hisani ya linda ikeji blog
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment