MSAADA WA MADAWATI WATOLEWA NA HASSAN MAAJA TRUST (HMT) JIJINI MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

10 May 2013

MSAADA WA MADAWATI WATOLEWA NA HASSAN MAAJA TRUST (HMT) JIJINI MWANZA



Taasisi ya Hassan Maajar imetoa masaada wa madawati 250 katika shule za msingi mkoa wa Mwanza.
Zaidi ya wanafunzi 700 katika shule tano za wilaya tano ya mkoa wa Mwanza zimepokea msaada wa madawati yaliyotolewa na Taasisi ya Hassan Maajar Trust.
Jumla ya madawati 250 yalitolea na taasisi hiyo ikiwa ni kampeni yako ya kupunguza tatizo sugu la upungufu wa madawati katika shule hizo. Hafla ya kukakabidhi madawati hao, ilifanyika katika Shule ya Msingi ya Nyaminjundu, iliyoko Wilaya ya Misungwi. Bwana Shariff Maajar, pamoja na Bi Zena M Tenga kwa niaba ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust walikabidhi madawati hayo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Engineer Evaristi Ndikilo.

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633