| Kwaya ya kimaasai wakiwa kwenye msafara wa uzinduzi wa kanisa la olasiti |
| Muonekano wa kanisa la mt. Joseph Olasiti Arusha |
| Umati wa watu uliofurika kwenye ufunguzi wa kanisa la mt. Joseph Olasiti Jijini Arusha. |
| Baba Askofu Joseph Lebulu akiyabariki maji na chumvi kabla ya ufunguzi wa kanisa la mt. Joseph Olasiti Jijini Arusha. |
| Maaskofu wakitulia kwa mshangao baada ya mlipuko wa bomu katika kanisa la mt. Joseph Olasiti Jijini Arusha. |
| Majeruhi wakiwa katika hospitali ya mt. Meru jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment