Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt azindua rasmi muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 11 March 2013

Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt azindua rasmi muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden

Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) akizindua rasmi muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden wakati wa hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal
Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) na  Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi  rasmi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kwa picha zaidi Tembelea humu >>>

No comments:

Post a Comment