MUONEKANO: UZINDUZI WA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE KIGOMA NA Dr. JAKAYA KIKWETE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 6 February 2013

MUONEKANO: UZINDUZI WA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE KIGOMA NA Dr. JAKAYA KIKWETE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma.

No comments:

Post a Comment