MCHEKESHAJI MAARUFU TANZANIA "KITALE" AFUNGA PINGU ZA MAISHA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 4 February 2013

MCHEKESHAJI MAARUFU TANZANIA "KITALE" AFUNGA PINGU ZA MAISHA.

 Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, jana amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.
Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.

Kitale akionyesha HATI HALALI YA NDOA.....!!!!Kwa picha zaidi Bofya hapa>>>

No comments:

Post a Comment